DENMARK YAISHINDILIA WALES 4-0 NA KUTINGA ROBO FAINALI EURO 2020

https://t0gkj99krb24.com/hibssfu8iy?key=1199603a84856e9c90eef355de1b36a5
DENMARK wamefanikiwa kwenda Robo Fainali ya Euro 2020 baada ya ushindi mnono wa 4-0 dhidi ya Wales leo Uwanja wa Johan Cruijff Arena Jijini Amsterdam nchini Uholanzi.
Mabao ya Denmark yamefungwa na Kasper Dolberg dakika ya 27 na 48, Joakim Mæhle dakika ya 88 na  
Martin Braithwaite dakika ya 90 na ushei na sasa itakutana na mshindi  kati ya Uholanzi na Jamhuri ya Czech.

Previous Entries (OFFICIAL VIDEO) Christian bella x Ruby,khadija kopa,ommy Dimpoz,Barnaba frida amani,msechu,mwasiti – MAMA SAMIA Next Entries SIMON MSUVA ACHEZA KIPINDI KIMOJA WYDAD YALAZIMISHWA SARE NA KAIZER CHIEFS JOHANNESBURG NA KUTOLEWA LIGI YA MABINGWA AFRIKA