Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akisaini kitabu cha maombolezo katika Ubalozi wa Burundi DSM

Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akisaini kitabu cha maombolezo katika Ubalozi wa Burundi  DSM kufuatia kifo cha aliyekuwa Rais Burundi, Nkurunziza, Kikwete amefahamiana na Nkurunzinza kwa zaidi ya miaka 20 tangu wakati wa mazungumzo ya amani ya Burundi.
Previous Entries Kikwete Aomboleza Kifo Cha Rais Wa Burundi Pierre Nkurunzinza Next Entries Jeshi la Ethiopia laitishia Misri kuhusu bwawa la An Nahdhah