Feza Kessy ala shavu kwa D’Banj, Awa Msanii wa Kwanza

 

Mshiriki wa zamani wa mashindano ya urembo na Big Brother Africa Housemate Feza Kessy ame-sign dili la usimamizi wa kazi zake za muziki  na lebo “DB Records” ya mkongwe D’banj kutoka Nigeria. 

Mtanzania huyo amekaribishwa leo kupitia ukurasa rasmi wa instagram wa Bangalee na lebo hiyo na anakuwa msanii wa kwanza wa kike.

Feza aliyekuwa Miss Dar City Centre na Miss Ilala mwaka 2005, alifanya vizuri na nyimbo kama “Amani ya Moyo na My papa” huku kiwataja wasanii Toni Braxton, Rihanna, Lauren Hill, Tiwa Savage na 2 Face kuwa ndio wanamvutia sana.

Previous Entries AUDIO | Seneta Ft. T Touch – Matope | Download Next Entries Kufuru! Bilionea Jeff Bezos Anunua Boti ya Sh Tril 1.16