HABARI PICHA: KIKAO CHA KAMATI KUU YA HALMASHAURI KUU

Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi ameongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM kinachoendelea Ikulu Chamwino Dodoma.

Previous Entries Dk. Hussein Mwinyi kumstaafisha siasa Maalim Seif? Next Entries Uamuzi Rais Uhuru wahusishwa mabadiliko baraza la mawaziri