Matusi,Dharau,Kashfa na Uadui wenu kwangu nilijua Mungu atanilipia soon,,.Watu wenu wanawatumia hadi baadhi ya wanaojiita Wachambuzi kunichafua kila siku mitandaoni,lakini nilijua mwisho wake ni leo,,,,,

Yes Nilipokwenda Goli la kaskazini kuomba siku ile ya Wananchi,,nilijua furaha ya Wanayanga itakuwa kwenye goli hili,,,,
Asanteni Wananchi na muelewe maadui wangu na wa Yanga hawatalala,,wataendelea kila siku lakini now nipo tayari na sasa ndio watajua kwa nn Niliiitwa Bugati!!!
Yes Nipo mwenyew tu ktk dunia yangu 💪🏿💪🏿