HARAMBEE YA KUCHANGIA UJENZI WA HOSTELI ZA WANAFUNZI WA KIKE CHUO CHA CBE MKOANI MBEYA.

https://t0gkj99krb24.com/hibssfu8iy?key=1199603a84856e9c90eef355de1b36a5

 Ungana na Mhe. Naibu Spika Dr. Tulia Ackson (MB) na Mlezi wa Chuo cha Elimu ya Biashara Kampasi ya MBEYA kwa Kuchangia fedha kwaajili ya Ujenzi hosteli za wanafunzi wa kike katika kampasi ya Mbeya.  Hosteli hizi zimekadiriwa kuwa na thamani ya shilingi za kitanzania bilioni 1.15.
Unaweza kushiriki kwa kupitia namba za Changizo hapo juu.
#ChangiaZaidiYaHarusi

Previous Entries IMEKULETEA VICHWA VYA HABARI MAGAZETI YA LEO APRIL 12,2021 Next Entries NDAHANI AVISHAURI VYAMA VYA MICHEZO KUTIMIZA AGIZO LA RAIS SAMIA LA KUENDELEZA MICHEZO YA WANAWAKE.