Wakiwa nchini Marekani kuendelea na ziara yao ya kimuziki Msanii @harmonize_tz na Dj wake @djsevenworldwide kwa pamoja wameonekana kutia neno kuhusu mwanamuziki kutoka Nigeria @tiwasavage .

Wakitumia insta story zao katika muda unaofanana wameonekana kumzungumzia msanii huyo ambapo #Harmonize aliandika ujumbe wenye tafsiri ya “mzuri sana tiwa” huku Dj wake nae pia akiandika ujumbe unaotafsrika “nimependa mtindo wa tiwa savage” ujumbe ambao wameshare katika muda mmoja, saa 6 ziliyopita.
Hivi karibuni msanii huyo mkubwa kutoka Nigeria #TiwaSavage aliweka wazi kuvuja kwa Video yake ya ngono, jambo lililofanya kuwa msanii anayezungumziwa sana kwa sasa.
https://t0gkj99krb24.com/hibssfu8iy?key=1199603a84856e9c90eef355de1b36a5