Aliyewahi kuwa Afisa Mhamasishaji wa Klabu ya @yangasc , @antonionugaz hii leo amefungua duka lake la jezi na kuzungumza na waandishi wa Habari mara baada ya hafla hiyo fupi. Nugaz ambaye ni kipenzi cha wanayanga amejinasibu kuwa gharama zote za biashara hiyo haja asilimia 100% ni umiliki wa kwake mwenyewe hajakopa benki wala ushirikiano na mtu yeyote. @antonionugaz amewataka vijana kutokata tamaa na hilo liwe funzo kwa watu wengine huku akijinasibu kuwa kama aliweza kumtoa Mtu kizani na kumuweka Mwangani vipi ashindwe chakwake mwenyewe.

The post Hili liwe funzo kwa wengine – Nugaz awatolea uvivu akiwa na jezi ya Simba mkononi (+Video) appeared first on Bongo5.com.