John Heche Aangushwa….Mwita Waitara Ashinda Ubunge Tarime Vijijini


Mwita Waitara CCM ameshinda ubunge Jimbo la Tarime Vijijini kwa kupata kura 35,758 dhidi ya mpinzani wake Heche John aliyepata kura 18,757

https://t0gkj99krb24.com/hibssfu8iy?key=1199603a84856e9c90eef355de1b36a5

Msimamizi wa uchaguzi amemtangaza Waitara kushinda kwa asilimia 95 dhidi ya mpinzani wake Heche aliyepata asilimia 10

Previous Entries Hawa Ghasia (CCM) Ashindwa Ubunge.....CUF Yaibuka Kidedea Next Entries CCM Yashinda Ubunge Jimbo la Handeni