Kagere Achaguliwa Kuwa Mchezaji Bora Mwezi August

Mshambuliaji wa Simba, Meddie Kagere amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa Ligi Kuu Tanzania Bara kwa mwezi Agosti akiwashinda Lucas Kikoti wa Namungo na Seif Karihe wa Lipuli.

Naye Kocha wa Ruvu Shooting, Salum Mayanga amechaguliwa kuwa Kocha Bora wa mwezi huo akiwashinda Mecky Mexime wa Kagera Sugar na Hitimana Thiery wa Namungo

Previous Entries TAEC YASAINI MUENDELEZO UJENZI WA MAABARA AWAMU YA PILI NA KAMPUNI YA DEVELOPMENT CONSTRUCTION LTD Next Entries Mugabe Kuagwa Jumamosi, Mazishi Yaandaliwa