KIM POULSEN AITA WACHEZAJI 43 KIKOSI CHA AWALI TAIFA STARS WAKIWEMO KELVIN YONDAN NA CHILUNDA

https://t0gkj99krb24.com/hibssfu8iy?key=1199603a84856e9c90eef355de1b36a5

KOCHA mpya wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Mdenmark Kim Paulsen ametaja kikosi cha awali cha wachezaji 43 kwa maandalizi ya mechi mbili za kufuzu Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika nyumbani na ugenini dhidi ya Equatorial Guinea.
Kikosi hicho kitacheza mechi mbili za kirafiki za kimataifa dhidi ya Kenya kabla ya kuwavaa Equatorial Guinea kuwania tiketi ya AFCON.

Previous Entries Vigezo vitatu kuitwa Taifa Stars na kocha Kim Poulsen (+Video) Next Entries Dkt. Ndungulile afurahishwa na huduma ya kufungua akaunti kidijitali CRDB kupitia SimBanking