Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhandishi Hamad Masauni akiwa mkoani Dodoma amesema kuwa Wilaya ya Kinondoni, Dar es salaam ndio wilaya inayoongoza kwa matukio ya uhalifu nchini Tanzania na kufuatia hali hiyo Serikali imeanzisha mkakati wa kuwa na vituo vya Polisi vya kuhamishika ili kuweza kusaidia kupunguza matukio hayo.
https://t0gkj99krb24.com/hibssfu8iy?key=1199603a84856e9c90eef355de1b36a5