https://t0gkj99krb24.com/hibssfu8iy?key=1199603a84856e9c90eef355de1b36a5

Kutokana na taarifa iliyotolewa na TFF imeeleza kuwa kikosi hicho ambacho kilitarajiwa kusafiri kwenda Libya kwa ajili ya mchezo wao wa marudiano ambao ulitarajiwa kuchezwa leo imeshindwa kusafiri.


Taarifa hiyo ya TFF imeendelea kueleza kuwa tatizo la kushindwa kusafiri ni kutokana na kukosa vibali vya kutua katika anga la Libya. (Swippe) kuisoma barua hiyo kwa urefu zaidi.

The post Klabu ya Biashara United yashindwa kusafiri kwenda Libya, TFF wathibitisha appeared first on Bongo5.com.