LACAZETTE APIGA MBILI ARSENAL YAICHAPA SHEFFIELD 3-0 BRAMALL LANE

TIMU ya Arsenal imeibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Sheffield United katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Bramall Lane, Sheffield.

Mabao ya Arsenal yamefungwa na Alexandre Lacazette dakika ya 33 na 85 na Martinelli dakika ya 71.
Kwa ushindi huo, Arsenal inafikisha pointi 45 baada ya kucheza mechi 31 na kusogea nafasi ya tisa, wakati Sheffield inaendelea kushika mkia ikibaki na pointi zake 14 za mechi 31.

Previous Entries Rayvanny: Harmonize unatuma hadi utupu wako bila hata kuogopa nafasi ulionayo kwenye jamii tena kwa kulazimisha Next Entries AUDIO | Chemical – Kemikali | Download