LACAZETTE APIGA MBILI ARSENAL YAICHAPA SHEFFIELD 3-0

TIMU ya Arsenal imeibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Sheffield United katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Bramall Lane, Sheffield.

https://t0gkj99krb24.com/hibssfu8iy?key=1199603a84856e9c90eef355de1b36a5
Mabao ya Arsenal yamefungwa na Alexandre Lacazette dakika ya 33 na 85 na Martinelli dakika ya 71.
Kwa ushindi huo, Arsenal inafikisha pointi 45 baada ya kucheza mechi 31 na kusogea nafasi ya tisa, wakati Sheffield inaendelea kushika mkia ikibaki na pointi zake 14 za mechi 31.

Previous Entries VODACOM YASHIRIKIANA NA BRITAM TANZANIA KUZINDUA VODABIMA KUPITIA M-PESA Next Entries AUDIO | Lulu Diva – MAMA