LIVERPOOL SARE 3-3 NA BRENTFORD

https://t0gkj99krb24.com/hibssfu8iy?key=1199603a84856e9c90eef355de1b36a5
TIMU ya Liverpool imelazimisha sare ya 3-3 na wenyeji, Brentford FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Brentford Community mjini Brentford, Middlesex.
Mabao ya Brentford yamefungwa na Ethan Pinnock dakika ya 27, Vitaly Janelt dakika ya 63 na Yoane Wissa dakika ya 82, wakati ya Liverpool yamefungwa na Diogo Jota dakika ya 31, Mohamed Salah dakika ya 54 na Curtis Jones dakika ya 67.
Liverpool inafikisha pointi 14 baada ya mchezo huo na kuendelea kuongoza Ligi Kuu kwa wastani pointi moja tu zaidi ya Manchester City, Chelsea na Manchester United baada ya wote kucheza mechi sita.Previous Entries Ali Kamwe "Simba Waliuza CHAMA wakanunua MABASI, Mambo 10 Nilioyaona Simba vs Yanga" Next Entries UJANGILI CHANZO CHA FARU KUTOWEKA HAPA NCHINI

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.