Mtangazaji huyo na mchambuzi wa soka kutoka Efm @maestro_ibrahim ameongeza kuwa @hajismanara alifanya kosa huenda hakujua madhara yake shida inakuja CEO @bvrbvra alitumia busara akakaa kimya bila kumjibu.

@hajismanara

 ameifanyia @simbasctanzania mambo makubwa sana lakini kwa hili alilofanya ilitakiwa mmoja aondoke, je kwa muliozisikia sauti ungemuadhibu nani kama wewe ungekuwa msuluhishaji @hajismanara au @bvrbvra ambaye hakuongea chochote.

The post Maestro: Ukimya wa Babra ndio uliomuondoa Manara (+ Video) appeared first on Bongo5.com.

https://t0gkj99krb24.com/hibssfu8iy?key=1199603a84856e9c90eef355de1b36a5