MAKAMU WA RAIS DKT. MPANGO AHUTUBIA MKUTANO WA KAMENI ZA CCM MUHAMBWE KIGOMA


 

Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi CCM na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, akimnadi Mgombea Ubunge Jimbo la Muhambwe Wilayani Kibondo MKoani Kigoma Dkt. Florence Samizi kwenye Mkutano wa Kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM kwa ajili ya Uchaguzi Mdogo unaotarajiwa kufanyika tarehe 16 Mei 22021, kufuatia kifo cha aliyekuwa Mbunge wa Jimbo hilo Hayati Atashasta J Nditiye leo Mei 14,2021.

Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi CCM na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, akiinadi Ilani ya Utekelezaji ya Uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi CCM alipokua akihutubia Mkutano wa Kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM Jimbo la Muhambwe Wilayani Kibondo Mkoani Kigoma kwa ajili ya Uchaguzi Mdogo unaotarajiwa kufanyika tarehe 16 Mei 22021, kufuatia kifo cha aliyekuwa Mbunge wa Jimbo hilo Hayati Atashasta J Nditiye leo Mei 14,2021. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)


https://t0gkj99krb24.com/hibssfu8iy?key=1199603a84856e9c90eef355de1b36a5
Previous Entries Job Opportunity at Asilia Lodges and Camps Ltd, Chefs Next Entries Job Opportunity at Asilia Lodges and Camps Ltd, Butler