Kupitia #instastory star na mmiliki wa #kondegang , Harmonize ameweka mtandaoni matumizi ya mwanae #zuukonde kama meseji aliyotumiwa na mama mtoto huyo kupitia #WhatsApp

Kitendo cha star huyu kufanya hivi wewe unakichukuliaje?….