Mama wa miaka 23 Miss Mercy Okon kutoka nchini Nigeria amemuuza mtoto wake mwenye miezi mitatu kwa pesa ya Nigeria N 150,000 sawa na Tsh 841,036.
Mama huyo anasema amefanya kitendo hicho kwa ajili ya kujisaidia kulipa kodi ya nyumba, kukabiliana na bili zingine kwa kuwa yeye ni maskini.