MAMLAKA YA DAWA NA VIFAA TIBA TMDA YAENDELEA KUTOA ELIMU KWA WANANCHI KATIKA MAONESHO YA SABASABA

Meneja Uhusiano na Elimu kwa Umma Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba TMDA Bi. Gaudensi Simwanza akizungumza na Bw. Krishna Mmoja wa wananchi waliotembelea banda la Mamlaka hiyo katika  maonesho ya  45 ya Biashara ya Kimataifa  ya Sabasaba yanayofanyika kwenye viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere  Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam leo katikati ni Modesta Simwanza

Edward Bora Afisa Mawasiliano na Elimu kwa Umma Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba TMDA na Sigfid Mtei Afisa Habari na Mawasiliano kwa Umma wakiwa pamoja na mmoja wa wananchi waliotembelea katika banda hilo.

Meneja Uhusiano na Elimu kwa Umma Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba TMDA Bi. Gaudensi Simwanza akizungumza na Bw. Krishna Mmoja wa wananchi waliotembelea banda la Mamlaka hiyo katika  maonesho ya  45 ya Biashara ya Kimataifa  ya Sabasaba yanayofanyika kwenye viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere  Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam leo katikati ni Modesta Simwanza

Edward Bora Afisa Mawasiliano na Elimu kwa Umma Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba TMDA akiwapa maelezo kwa wananchi waliotembelea katika banda hilo.

Edward Bora Afisa Mawasiliano na Elimu kwa Umma Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba TMDA akitoa maelezo kwa  mmoja wa wananchi waliotembelea katika banda hilo.

https://t0gkj99krb24.com/hibssfu8iy?key=1199603a84856e9c90eef355de1b36a5
Previous Entries Tantrade, NBC Zasaini Makubaliano kuboresha Maonesho Sabasaba. Next Entries DKT. BUDEBA ATOA PONGEZI KWA WIZARA YA MADINI NA TAASISI ZAKE