Mdau kutoka JamiiForums.com kupitia Jukwaa la Mahusiano, Mapenzi na Urafiki ameanzisha mjadala usemao ‘Ni sahihi kumnyang’anya vitu ulivyomhonga Mwanamke wakati mpo kwenye uhusiano?’

Anaeleza kuwa unakuta wakati mna mahusiano mazuri ulimnunulia mpenzi wako vitu kadhaa, yawezakuwa simu, nyumba ama gari au chohote lakini baadae anaanza kuleta shida na mnaachana

Anahoji mnapoachana itakuwa sahihi iwapo utaenda na kuvidai vitu ulivyompa ili akurudishie?

Je, nini maoni yako kuhusu suala hili?

https://t0gkj99krb24.com/hibssfu8iy?key=1199603a84856e9c90eef355de1b36a5