MO DEWJI AWAPA NENO WANASIMBA.

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi , MO Dewji kupitia katika ukurasa wake wa kijamii amewambia wanasimba kuwa anawahakikishia kuwa hakuna mchezaji yoyote atakaeondoka ndani ya Simba .

“Wanasimba wenzangu nataka niwahakikishie hakuna mchezaji wetu yoyote atakaye ondoka Simba Lakini pia tutasajili mchezaji yoyote kutoka popote kama mwl wetu atamuhitaji kwenye kikosi chake Tutashuka kwa kishindo hatuna maneno mengi lakini tupo”.

https://t0gkj99krb24.com/hibssfu8iy?key=1199603a84856e9c90eef355de1b36a5

Story By www.dimbani.co.tz

Previous Entries Naibu Spika amjulia hali mbowe Next Entries Serikali yaombwa kuboreshasheria tiba mbadala,asili