https://t0gkj99krb24.com/hibssfu8iy?key=1199603a84856e9c90eef355de1b36a5

Bongo5TV imefanya exclusive interview na mtangazaji wa Clouds TV na Classic Fm, MO J ambaye ni mzazi mwenza na video vixen na muimbaji, Gigy Money.

Mo amefunguka mambo mengi pamoja na kuhusu kuzungumziwa vibaya na Gigy Money kila mara ambapo amedai kama angekuwa hajazaa naye basi angemfungulia kesi mahakamani.

Pia amedai kwa sasa yupo kwenye mgogoro na mama mtoto wake akitaka apewe nafasi ya kushiriki kumlea mtoto wake huyo kwani hatakubali kumuachia mwanamuziki huyo kumlea mtoto huyo peke yake.

The post Mo J amtolea uvivu Gigy Money “Ningempeleka Mahakamani” (Video) appeared first on Bongo5.com.