NAIBU KATIBU MKUU CCM KUZINDUA KAMPENI ZA CCM JIMBO LA USHETU KESHO

:Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Bara) Ndugu Christina Mndeme akizungumza na Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Kahama Ndugu Thomas Muyonga (kulia)mara baada ya kuwasili wilayani humo tayari kwa uzinduzi wa kampeni katika jimbo la Ushetu kesho tarehe 27 Septemba katika viwanja vya Nyamilangano, Kahama mkoani Shinyanga. (Picha na CCM Makao Makuu)

 

Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Bara) Ndugu Christina Mndeme akizungumza na wajumbe wa kamati ya siasa wilaya ya Kahama mara baada ya kuwasili wilayani humo tayari kwa uzinduzi wa kampeni katika jimbo la Ushetu kesho tarehe 27 Septemba katika viwanja vya Nyamilangano, Kahama mkoani Shinyanga. (Picha na CCM Makao Makuu)

https://t0gkj99krb24.com/hibssfu8iy?key=1199603a84856e9c90eef355de1b36a5
Previous Entries YANGA MABINGWA WA NGAO YA JAMII,WAIKALISHA SIMBA Next Entries WAZIRI BITEKO AIPONGEZA TANZANITE FOREVER LAPIDAR

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.