Kocha Mkuu wa timu ya taifa ya Tanzania U20 Ngorongoro Heroes, Jamhuri Kihwelo ‘Julio’ amesema kuwa anampongeza sana Antonio Nugaz kwa kile alichokianzisha maana sio kitu kidogo.

The post Nampongeza Antonio Nugazi, ikitokea riziki huku imekwisha unahamia sehemu nyingine – Julio (+Video) appeared first on Bongo5.com.