Jumanne Fadhili wa Tanzania Prisons (kushoto) akiwania mpira na Licas Kikoti wa Namungo FC katika mechi ya Ligi Kuu ya VODACOM Tanzania Bara iliyochezwa kwenye Uwanja wa Kassim Majaliwa, Ruangwa, Julai 18, 2020. Timu hizo zilitoka sare 1-1.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
  Azizi Ismail wa Tanzania Prisons akichuana vikali na Jamal Mwambeleko wa Namungo FC katika mechi ya Ligi Kuu ya VODACOM Tanzania Bara iliyochezwa kwenye uwanja wa Kassim Majaliwa, Ruangwa, Julai 18, 2020.Timu hizo zilitoka sare ya 1-1. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)