https://t0gkj99krb24.com/hibssfu8iy?key=1199603a84856e9c90eef355de1b36a5
 Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha ACT Wazalendo,ambaye pia ni Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Mhe.Othman Masoud Othman aungana na Viongozi wenzake wa Chama cha ACT Wazalendo wakiongozwa na kiongozi wa Chama hicho Ndg. Zitto Kabwe katika mkutano maalum wa kuzungumza na viongozi wa chama ngazi ya mkoa majimbo na matawi katika mkoa wa Wete Kichama.