UONGOZI YANGA WAOMBWA KUIGA JAMBO HILI KUTOKA SIMBA

Na George MgangaKufuatia kushindwa kufanya hivi karibuni na licha ya kikosi cha Yanga kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Mbao FC katika mchezo wa ligi uliopigwa jana Uwanja wa Taifa, mashabiki Yanga wameutaka uongozi wao kufanya mabadiliko.Mapema baada ya mchezo...

MASHABIKI YANGA WAUTAKA UONGOZI KUACHIA MADARAKA

Baadhi ya mashabiki na wanachama wa Yanga wameutaka uongozi wa klabu hiyo uliopo madarakani kuachia ngazi kutokana na mwenendo mbaya wa kikosi namna kinavyoenda hivi sasa.Mashabiki hao wameutaka uongozi huo kuachia madaraka kufuatia mabango waliyokuwa wameyabeba...

PELLEGRINI KULIPWA PAUNI MILIONI 5 KWA MWAKA WEST HAM

Manuel Pellegrini akiwa ameshika jezi ya West Ham United baada ya kusaini mkataba wa miaka mitatu kwa mshahara wa Pauni Milioni 5 kwa mwaka akijiunga na timu hiyo ya London kutoka Hebei China Fortune kuchukua nafasi ya David Moyes aliyeondolewa kufuatia timu...

ENGLAND WANAVYOJIANDAA NA FAINALI ZA KOMBE LA DUNIA

Nyota wa Tottenham Hotspur, Dele Alli akifanya mazoezi ya viungo gym huku mchezaji mwenzake, Danny Welbeck wa Arsenal akimuangalia nyuma yake leo wakijiandaa na Fainali za Kombe la Dunia PICHA ZAIDI GONGA HAPA