TUTAENDELEA KUWASAIDIA WAWEKEZAJI NA WAFANYABIASHARA – MAJALIWA

WAZIRI MKUU, Mheshimiwa Kassim Majaliwa amesema Serikali imetoa maelekezo kwa Wizara ya Fedha na Mipango pamoja na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kuendelea kuwasaidia wawekezaji pamoja na wafanyabiashara wadogo ili wafanye vizuri katika shughuli zao kwa kuwa kuna...

MAJALIWA: SERIKALI INAENDELEA KUBORESHA SEKTA YA ELIMU

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan ipo makini na inaendelea kuboresha sekta mbalimbali nchini ikiwemo ya elimu ili kuweka mazingira bora ya kujifunzia na kufundishia. Pia, Mheshimiwa...

Harmonize atua Tanzania na mpenzi wake Mmarekani (+ Video)

Leo katika uwanja wa Ndege wa Mwl Julius Kambarage Nyerere staa wa Bongo Fleva @harmonize_tz ametua na mpenzi wake @briana__tz. Huenda wakaenda Mtwara na mpenzi wake kwenye show ya @ibraah_tz The post Harmonize atua Tanzania na mpenzi wake Mmarekani (+ Video) appeared...

Watanzania tuchanje chanjo ya Uviko-19-Majaliwa

Na Faraja Masinde, Mbeya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amehimiza Watanzania kuendelea kuchanja chanjo ya Uviko-19 huku akisisitiza kuwa chanjo siyo laima ila ni muhimu. Majaliwa ametoa wito huo Ijumaa Novemba 26, wakati akifungua Kongamano la Kisayansi la Kitaifa Kuhusu...

POLISI KUTUMIA TEHAMA KUTATUA CHANGAMOTO

Kamishna wa Fedha na Lojistiki Hamad Hamis Hamad akizungumza wakati wa ufungaji wa Mkutano wa Maafisa Wanadhimu wa mikoa, Wakuu wa Usalama barabarani wa mikoa na Wahasibu wa Polisi uliokuwa ukifanyika Mkoani Kilimanjaro kwa lengo la kutathmini mfumo wa ukusanyaji...

MOI Yasaini Mkataba wa Ushirikiano na Chama cha Madaktari China

Na Mwandishi wetu- MOI Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI) imesaini mkataba wa ushirikiano na Chama cha Madaktari China (CMA) pamoja na hospitali ya Tian Tan kwa lengo la kuboresha huduma za kibingwa hapa nchini. Hayo yamesemwa na Mkurugenzi Mtendaji wa MOI Dkt....