PICHA: Muonekano wa Barabara za juu Ubungo, Vyombo vya Usafiri vyaanza Kupita

Ni Mei 30, 2020 ambapo Barabara za juu (Flyover ) iliyojengwa Ubungo Dar es Salaam  imeanza kufanya kazi ambapo vyombo vy usafiri vimeruhusiwa kupitia, hapa nimekusogezea picha 11 ujionee.

Previous Entries Jumba la Kifahari Alilohamia Davido Huko Banana Island Nchini Nigeria Next Entries Waziri wa Kilimo Atangaza Mazao Yatakayouzwa Kwenye Mfumo Wa Stakabadhi Ghalani