PRINCE DUBE MPUMELELO AFUNGA BAO PEKEE AZAM FC YAICHAPA MBUNI 1-0 NA KUTINGA 16 BORA KOMBE LA TFF

BAO pekee la mshambuliaji Mzimbabwe Prince Dube Mpumelelo limeipa Azam FC ushindi wa 1-0 dhidi ya Mbuni FC katika mchezo wa Hatua ya 32 Bora Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Azam Sports Federation Cup (ASFC) Uwanja wa Azam Complex, Chamazi.Azam FC sasa itamenyana na Polisi Tanzania iliyoitoa Kwamndolwa FC.

Previous Entries Siri Yaficuka, Sababu ya Billnas Kumwagana na Nandy Next Entries AJALI YA BASI,GARI NDOGO YAUA WATU WANNE WAKIWEMO WAFANYAKAZI WA MAMLAKA YA MAJI SIMIYU