Rais Magufuli: Dk Bashiru Alipingwa Ndani ya Chama Waakidai ni CUF

Rais Magufuli leo akihutubia kwenye Kongamano la hali ya uchumi lililofanyika chuo kikuu cha Dar es salaama ameeleza kuhusu namna ambavyo alivyotaka kumteua katibu mkuu wa chama cha mapinduzi, Dk. Bashiru Ally alipingwa ndani ya chama hicho wakidai Dk. Bashiru ni CUF.

Rais Magufuli ameongeza kuwa licha ya baadhi ya wanaCCM kupinga yeye bado alisema anamtaka mwanaCUF ndani ya CCM ambaye kwa sasa anamsaidia sana. Unaweza kubonyeza play hapa chini kuitazama video