Rais Samia Amwaga Ajira Mpya za Askari 2300 kwa vyombo vya Usalama vya Wizara ya Mambo ya ndani

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene akizungumza na viongozi wakuu wa utawala wa Vyombo vya Usalama vilivyopo chini ya Wizara yake, wakati alipokuwa akimshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kutoa ajira mpya za askari 2,300 kwa Vyombo hivyo, jijini Dodoma, leo Septemba 24, 2021. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (meza kuu) akimsikiliza Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP), Lulu Zodo alipokuwa akizungumza katika kikao chake na viongozi wakuu wa utawala wa Vyombo vya Usalama vilivyopo chini ya Wizara yake, wakati alipokuwa akimshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kutoa ajira mpya za askari 2,300 kwa Vyombo hivyo, jijini Dodoma, leo Septemba 24, 2021. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Previous Entries Nabi, Kaze Wabadilishana Mbinu Usiku Simba Afe Next Entries MSCL yatoa Sababu Tatu Kusitisha kwa muda safari meli za New Victoria na New Butiama.

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.