RAIS WA ZANZIBAR DK. MWINYI AZUNGUMZA NA BALOZI WA TANZANIA NCHINI OMAN

 

https://t0gkj99krb24.com/hibssfu8iy?key=1199603a84856e9c90eef355de1b36a5

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Balozi wa Tanzania Nchini Oman Mhe.Abdalla Abbas Kilima, alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha leo 14-4-2021, mazungumzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na Balozi wa Tanzania Nchini Oman Mhe. Abdalla Abbas Kilima, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)

Previous Entries BALOZI WA MAREKANI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MAWAZIRI PROF MKUMBO NA MWAMBE Next Entries TCRA inafuatilia mwenendo wa urudishaji bando katika mfumo wa awali.

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.