Bongofive leo tulimtembelea staa wa Bongo movie Shamsa na kupiga naye stori hasa kuhusu maisha yake ya sanaa na biashara zake.

Moja ya kitu tulichomuuliza ni kuhusiana na ukaribu wake na aliyekuwa mume wake Chid Mapenzi, n ahii ni baada ya Shamsa kuhamisha duka lake lilipokuwa mwanzoni na kufungua jirani na Chid Mapenzi wakitenganishwa na mlango.

https://t0gkj99krb24.com/hibssfu8iy?key=1199603a84856e9c90eef355de1b36a5

Lakini pia kuhusu kutumiwa na wasanii wachanga kutengeneza kiki kwa kulipwa pesa.

Haya ndio yalikuwa majibu yake.

The post Shamsa aeleza kuhusu kurudiana na Chid Mapenzi baada ya kufungua duka jirani yake (+ Video)

appeared first on Bongo5.com.