SIMBA ILIYOTAMBA MWAKA 1993 HADI KUFIKA FAINALI KOMBE LA CAF

Kikosi cha Simba SC kilichotamba katika iliyokuwa michuano ya Kombe la CAF hadi kufika fainali mwaka 1993; Waliosimama kutoka kulia ni Mfadhili Mkuu, Azim Dewji, Kasongo Athumani, David Mihambo, Michael Paul ‘Nylon’, Duwa Said ambaye hakucheza michuano hiyo kwa sababu hakusajiliwa alikuwa anacheza Ligi ya Tanzania Bara pekee, Iddi Selemani ‘Meya’, Damian Kimti, Deo Mkuki, Twaha Hamidu na Mavumbi Omar aliyekatwa.
Walioinama kutoka kulia ni Often Martin aliyekatwa, George Lucas ‘Gazza’, Mbuyi Yondan, Salum Pembe, Ramadhani Lenny (marehemu), Edward Chumila (marehemu), Hussein Marsha na Mwameja Mohammed

Previous Entries MTIBWA SUGAR 2-0 AZAM FC (LIGI KUU TZ BARA) Next Entries Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumapili ya Disemba 30