SIMBA SC YAENDELEA KUNG’ARA, YAWATANDIKA ACRICAN LYON 3-0 NA KUSONGA MBELE AZAM SPORTS FEDERATION CUP

SIMBA SC imetinga Hatua ya 16 Bora michuano ya Azam Sports Federation Cup baada ya ushindi wa 3-0 dhidi ya African Lyo leo Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.
Mabao ya Simba SC yamefungwa na Ibrahim Ajibu mawili dakika ya 10 na 44 na Mzimbabwe Perfect Chikwende dakika ya 63.

Previous Entries China sanctions to Trump officials: Former officials in hot water, or the threat hot air? Next Entries WAZIRI MHAGAMA ATEMBELEA KIWANDA CHA MOROGORO CANVAS LTD