UGONJWA WA SELIMUNDU ( Sickle cell) UNATIBIKA

Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Afya) Dkt. Grace Magembe amewataka wataalam wa afya na wadau kushirikiana kutoa elimu juu ya ugonjwa wa Selimundu(Sickle Cell).Dkt.Grace amesema hayo Desemba 7, 2021 Jijini Dodoma wakati akipokea...