Miaka 60 ya Uhuru| TAMISEMI yajivunia kuboresha sekta muhimu

Na Ramadhan Hassan,Dodoma WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Ummy Mwalimu amesema katika kipindi cha miaka 60 ya uhuru wa Tanzania Bara inajivunia kuboresha sekta ya afya, elimu, kuwezesha wananchi kiuchumi pamoja na Ujenzi...

Serikali yaonya wanaondeleza ukatili wa kijinsia

Na Mwandishi Wetu WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa, amesema Serikali haitavumilia vitendo vyovyote vya ukatili wa kijinsia na itaendeleza mapambano dhidi ya ukatili utakaofanywa na mtu yeyote hapa nchini. Majaliwa ametoa kauli hiyo leo Novemba 25, 2021 katika uzinduzi wa...

Waziri Mkuu aagiza wizara kuandaa mikakati ya ajira

Na Mwandishi Wetu, Zanzibar WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa ameziagiza wizara zote zenye dhamana ya ukuzaji ajira kuhakikisha zinaandaa  mipango na mikakati bora ya ukuzaji ajira ikiwa ni pamoja na kuhamasisha wadau wote nchini washiriki katika utekelezaji wake ili...