Mauzo ya Pamba, Choroko yaingiza Bilioni 1.3

Na Allan Vicent, Tabora Wakulima wa zao la pamba na choroko wilayani Igunga mkoani Tabora wamepata mafanikio makubwa katika kilimo cha mazao hayo kwa msimu wa 2020/2021 baada ya kufanikiwa kuuza zaidi ya kilo 250 za pamba na kilo 700,000 za choroko na kupata zaidi ya...

Watanzania wamehimizwa kuwekeza kwenye Kilimo cha Vanilla

Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Vanilla International, Simon Mnkondya akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam kuhusiana na Zao la Vanilla na jinsi linavyotajilisha watu na nchi.WATANZANIA wamehimizwa kuwekeza katika Kilimo cha Vanilla ili waweze...