Viongozi wa Dini waaswa kutokupotosha umma kuhusu chanjo ya Uviko-19

Renatha Kipaka, Kagera Viongozi wa dini wametakiwa kuacha tabia ya kuwapotosha wafuasi wao bali waache wao wafanye maamuzi wenyewe katika zoezi zima la kupata chanjo ya Uviko-19 inayoendelea hapa nchini. Kauli hiyo imetolewa na Mchungaji wa Kanisa la Baptist Tanzania,...

Kauzeni waondokana na adha ya kutembea umbali mrefu kufuata maji

Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital Wananchi wa Kijiji cha Kauzeni kilichopo Kata ya Kibuta Wilaya ya Kisarawe, mkoani Pwani, wameondokana na adha ya kutembea umbali mrefu kufuata huduma ya maji baada ya kukamilika kwa ujenzi wa kisima kilichogharimu sh milioni 10....

Balozi Elsie akutana na Meya wa mji wa Dallas

Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital BALOZI wa Tanzania nchini Marekani na Mexico, Elsie Kanza, amefanya mazungumzo na  Meya wa Mji wa Dallas, Meya Eric Johsnon, kuzungumza  na Jumuiya ya Watanzania (Diaspora) waishio Marekani na Mexico. Mazungumzo kati ya...

Silaha 228 zasalimishwa kwa jeshi la polisi

Na Ramadhan Hassan,Dodoma  Serikali imesema jumla ya silaha 228 zimesalimishwa kwa Jeshi la Polisi  huku akiliagiza  Jeshi hilo  kuangalia upya uwezekano wa kufanya marekebisho ya Sheria ya Usimamizi na Udhibiti wa Silaha na Risasi ya Mwaka 2015.Hayo Hayo...