Alikiba amjibu Harmonize baada ya kuisifia album yake (+ Video)

Akiongea na @el_mando_tz @officialalikiba ameongea ni kwa namna moja anawashukuru mashabiki wake kwa sapoti kubwa ya Album waliyomuonyesha. Pia ameelza ni kwa namna gani ana uwezo wa kutunga ngoma za AMAPIANO album mbili ndani ya wiki mbili akisema AMAPINAO ni muziki...