TANZANITE YAICHAPA ERITREA 3-0 ASMARA

 TIMU ya taifa ya wasichana chini ya umri wa miaka 20, Tanzanite imeibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya wenyeji, Eritrea leo Uwanja wa Asmara Jijini Asmara katika mchezo wa kwanza wa kuwania tiketi ya kucheza fainali za Kombe la Dunia mwakani Costa Rica.
Tanzanite inafunga safari kurejea Dar es Salaam kujipanga kwa mchezo wa marudiano Oktoba 9 nchini.
https://t0gkj99krb24.com/hibssfu8iy?key=1199603a84856e9c90eef355de1b36a5


Previous Entries Download | Rosa Ree – Watatubu | Audio Next Entries LIGI YA CHAMPIONSHIP KUANZA OKTOBA 2

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.