TB Joshua Alikaa Miezi 15 Tumboni Kwa Mama yake…Hakika Hakuwa wa Kawaida

https://t0gkj99krb24.com/hibssfu8iy?key=1199603a84856e9c90eef355de1b36a5

WAKATI simanzi ikiwa imetawala kufuatia kifo cha Mhubiri wa Kimataifa wa Nigeria, T.B Joshua, taarifa ikufikie kwamba miongoni mwa stori zake za kushangaza ni kwamba alikaa tumboni mwa mama yake kwa miezi 15 kabla ya kuzaliwa tofauti na binadamu wa kawaida ambaye huzaliwa baada ya miezi 9.
Kwa mujibu wa Mtandao wa kanisa lake la SCOAN, @tbjoshua aliishi ndani ya tumbo la mama’ke kwa miezi 15 kabla ya kuzaliwa kwake.
TB Joshua amefariki dunia jana akiwa na umri wa miaka 58.
Previous Entries Milioni 100 saini ya Makambo Yanga Next Entries MBUNGE MPINA ATAKA BUNGE KUWAWAJIBISHA MAWAZIRI WALIOVUNJA KATIBA