WACHEZAJI wa timu ya taifa ya vijana ya Tanzania chini ya umri wa miaka 23 ,wakiwa mazoezini Uwanja wa JMK Park Jijini Dar es Salaam kujiandaa na michuano ya CECAFA Challenge U23 inayoendelea nchini Ethiopia.

Kocha Msaidizi wa timu hiyo, Nsajigwa Shadrack akiwanoa vijana mazoezini


https://t0gkj99krb24.com/hibssfu8iy?key=1199603a84856e9c90eef355de1b36a5