UTT AMIS YATOA ELIMU YA UWEKEZAJI KWA WAKUU WA IDARA

https://t0gkj99krb24.com/hibssfu8iy?key=1199603a84856e9c90eef355de1b36a5

 Afisa Mkuu wa Masoko na Uhusiano wa Kampuni ya Uwekezaji ya UTT AMIS, Martha Mashiku, akitoa mada kuhusu Akiba na Uwekezaji kupitia mifuko ya Uwekezaji wa Pamoja inayoendeshwa na UTT AMIS wakati wa Mkutano wa Wakuu wa Idara za Utawala na Rasilimali Watu uliofanyika katika Ukumbi wa IRDP jijini Dodoma. 

UTT AMIS ni Taasisi ya Serikali inayotoa fursa kwa watanzania kuweka akiba na kuwezeshwa kushiriki kwenye masoko ya fedha na mitaji ambapo wadau kutoka idara za serikali, halmashauri, mashirika ya umma na wizara walishiriki katika mkutano huo uliofanyika mwishoni mwa wiki jijini Dodoma.

Washiriki wa mkutano huo.

 Afisa Mkuu wa Masoko na Uhusiano wa Kampuni ya Uwekezaji ya UTT AMIS, Martha Mashiku, akitoa mada wakati wa Mkutano wa Chama cha Maafisa Rasilimali Watu kuhusu Akiba na Uwekezaji kupitia mifuko ya Uwekezaji wa Pamoja inayoendeshwa na UTT AMIS uliofanyika jijini Dodoma.

Previous Entries ENGLAND YATINGA ROBO FAINALI EURO, YAICHAPA UJERUMANI 2-0 Next Entries Yara Tanzania yazindua programu ya YaraConnect APP kutoa elimu ya utaalamu wa kilimo.