VIDEO: Rais Magufuli Akiwaapisha Kamshina Jenerali wa Magereza

https://t0gkj99krb24.com/hibssfu8iy?key=1199603a84856e9c90eef355de1b36a5

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli, leo Julai 14, 2018 amemuapisha Kamishna Jenerali wa Magereza, Phaustine Martin Kasike. Tukio hilo limefanyika Ikulu jijini Dar es Salaam.


Kabla ya kuteuliwa kushika nafasi hiyo ambayo awali ilikuwa ikishikiliwa na Dkt. Juma Alli Malewa, ambaye amestaafu Julai 06, 2018 , Kamishina Jenerali , Kasike, alikuwa Naibu Kamishna wa Magereza.
==>Tazama hapo chini

Previous Entries MAKAMBA ATOA MILIONI 46 ZA MFUKO WA JIMBO KUSAIDIA MIRADI YA MAENDELEO JIMBONI KWAKE Next Entries DAWASCO TEMEKE KUMALIZA KERO ZA MIVUJO YA MAJI