Vigezo vitatu kuitwa Taifa Stars na kocha Kim Poulsen (+Video)

Kikosi cha @taifastars_ kitakachocheza michezo miwili ya Kirafiki ya Kimataifa na Kenya pamoja na michezo ya Kufuzu AFCON dhidi ya Equatorial Guinea na Libya.

”Nahitaji mchezaji ambaye anahitaji kukua, kujifunza na kufanikiwa kwa pamoja kile ambacho tunakipigania atakayejivunia kuitumikia timu yake ya taifa”- Kim Poulsen

The post Vigezo vitatu kuitwa Taifa Stars na kocha Kim Poulsen (+Video)

appeared first on Bongo5.com.
https://t0gkj99krb24.com/hibssfu8iy?key=1199603a84856e9c90eef355de1b36a5
Previous Entries National Gulmarg winter festival organized by Army hosts Bollywood stars Next Entries KIM POULSEN AITA WACHEZAJI 43 KIKOSI CHA AWALI TAIFA STARS WAKIWEMO KELVIN YONDAN NA CHILUNDA