Mkurugenzi wa Uwekezaji wa Kampuni ya GSM, Mhandisi Hersi Said akitoa mafunzo maalum kwa viongozi wa Yanga SC ya kuwajengea ufahamu juu ya taarifa ya awamu ya kwanza ya mabadiliko ya mfumo wa uenedeshwaji wa klabu hiyo jana Jijini Dar es Salaam